Mwandishi maarufu wa kujitegemea anayefanya kazi na vyombo vya habari ndani ya nchi na vya kimataifa, anashikiliwa rumande akisubiri kesi yake tangu Julai 29
Wakili wake ameiomba Mahakama hiyo itoe amri kwa Jeshi la Magereza kumpeleka mtuhumiwa huyo Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Dr. Joyce Moricu Kaducu, waziri wa dola anaeshughulikia huduma za afya ya msingi alithibitisha kesi ya mtoto huyo mwenye asili ya Congo ambaye alikuwa anasafiri na mama yake kuingia Uganda kupitia kituo cha mpakani cha Mpondwe
Takriban wakimbizi 75,000 wamesharejea nchini Burundi tangu Septemba 2017
Lakini mahakama kuu ilitoa uamuzi Alhamisi kwamba rais wa zamani huyo ahukumiwe tena kwa mashtaka ya rushwa pembeni ya mashtaka mengine.
Jeshi la polisi la jiji hilo Alhamisi walikataa kutoa kibali kwa kikundi cha wanaharakati cha Civil Human Rights Front...
Rais Buhari wa Nigeria alisema kutakuwa na mkutano wa pamoja na majirani zake wa eneo la kaskazini Benin na Niger ili kuzungumzia hatua za kuchukuliwa kudhibiti biashara ya magendo kuvuka mipaka yao
Trump Jumatatu amesema kuwa ana azma ya kukutana na Rais wa Iran muda utakaporuhusu ili kutafuta suluhisho kuhusiana na mkataba wa nyuklia.
Bango nyuma ya jukwaa katika bustani ya umma iliyoko katikati ya mji lilisomeka kama “Sitisheni ufukuzaji kazi” na “Acheni kuwatishia wafanyakazi wa CX,”
Jawara aliunda chama cha PPP huko Gambia ambacho kiliongoza hadi taifa hilo lilipopata uhuru wake mwaka 1965. Ofisi ya Rais aliyeko madarakani nchini Gambia imemuita Jawara kuwa ni Baba wa taifa la Gambia
Ofisa mmoja mwandamizi wa wizara ya mambo ya nje Marekani alisema kama pande zote zinafanya kazi kikamilifu wataendelea na utaratibu wa haraka kuiondoa nchi hiyo katika orodha ya ugaidi
Katika kuwalenga wafanyabiashara, walitumia mbinu maalum inayoitwa “Udukuzi wa email za biashara,” ambazo pia zinajulikana kama CEO fraud.
Pandisha zaidi