Orodha hiyo imetayarishwa na ushirika wa One Free Press ambao unashirikiana na vyombo kadha likiwemo gazeti la Washington Post la Marekani
Alichukuwa uongozi wa kampuni hiyo mwaka 2010 na kusimamia ongezeko la hisa la takriban asilimia 500,
juma la kwanza la michuano hii timu zilizotolewa ni pamoja na Burundi, Tanzania, Namibia na DRC.
Trump amesema Jumamosi kuwa anaridhika na kitendo cha Saudi Arabia kununua vifaa vya kivita vinavyo tengenezwa na Marekani
Ndugai alisema kanuni za katiba ya nchi zinataka mbunge huyo anayewakilisha jimbo la Singida Mashariki kupitia Chadema avuliwe ubunge
“Hiyo ni kunipa wasifu usiolingana na nafasi yangu katika jamii,” alijibu Biden
Kuhusu suala la Iran, Seneta wa jimbo la New Jersey Corey Booker alikuwa mgombea pekee kusema kuwa haungi mkono makubaliano ya nyuklia na Iran na kuiita "uamuzi wenye makosa."
Jaguar, anadaiwa kusema kwamba Wakenya wanastahili kutumia nguvu kuwafurusha raia wa kigeni
Kiongozi wa PLO Hanan Ashrawi amepokea kwa furaha uamuzi huo na utambuzi wa namna yeyote ule wa taifa la Palestina.
Marekebisho ya mswada huo yanamtaka mtu yeyote au kampuni inayotengeneza filamu, kuwasilisha kanda zote zilizorekodiwa kwa bodi ya filamu
Pompeo alizungumza hayo alipowasili kutoka Saudi Arabia na Umoja wa Falme za kiarabu katika juhudi za kujenga umoja wa ushirika wa Marekani.
Shukurani Almasi na Dada yake Mayasa Almas ni miongoni mwa wanawake walionusurika katika matukio ya kikundi cha uhalifu na ubakaji cha Teleza.
Pandisha zaidi