Kenya itaondoa majeshi yake Somalia pale wakenya watakapohisi wako salama kutokana na vitisho vya wanamgambo wa al-Shabaab
Watu zaidi ya 200 waripotiwa kufariki dunia katika tetemeko la Uturuki.
Bei za bidhaa za kimsingi zapanda Kenya kufuatia kushuka kwa thamani ya Shilingi
Mkuu wa zamani wa IMF arejea Ufaransa baada ya waendesha mashitaka kutupilia mbali kesi ya ngono dhidi yake
Makundi ya kutetea haki za binadamu yagundua stakabadhi za siri zinazohusisha idara ya kijasusi ya Marekani na Libya
Mjumbe maalum wa Umoia wa Mataifa kwa Somalia alionya zamani juu ya janga la njaa Somalia
Katika maathiriko haya ya ukame na njaa akina mama na watoto ndio waathiriwa wakubwa
Umoja wa Mataifa unasema wakimbizi 1,500 wanaingia Kenya kila siku na Djibouti yaelezewa kuwa nchi ya pili iliyoathirika na baa la njaa
UM umeeleza idadi ya wakimbizi wanaowasili Kenya kila siku imefikia 1 500, na kuzusha changamoto kubwa ndani ya kambi za wakimbizi.
Masaibu ya Wasomali kutokana na njaa, ukame na kundi la kigaidi la al-Shabaab
Pandisha zaidi