James Mbatia asema urais,ubunge ,uwakilishi au udiwani ni utumishi wa umma ni jambo la kujitoa mtu binafsi kwa ajili ya kutumikia wanyonge.
Utafiti huo ulifanywa kwa ushirikiano wa shirika la afya duniani WHO na chuo kimoja cha London cha Imperial College London.
Rais wa Sioerra leone atoa wito kwa wananchi wake kutowaficha wagonjwa wa Ebola.
Mawaziri wa mambo ya nje wa ulaya wanajadili kwa kina kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoweza kuuwa kwa haraka.
ugonjwa huo wa Ebola umekuwa tishio kwa nchi za Afrika siyo tu zile ambazo tayari zimeathiriwa lakini pia zile zilizo jirani na kwenye mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Wasafiri kutoka Afrika magharibi wanafanyiwa vipimo vya Ebola , Marekani.
Habari zinaeleza kuwaMarekani inajiandaa kupambana na mzozo wa ugonjwa wa ebola kote nchini mwake na katika eneo.
Rais wa Zambia ameshindwa kutoa hotuba yake katika mkutano wa baraza kuu la umoja wa mataifa unaendelea baada ya kuugua ghafla.
Pandisha zaidi