Kitengo kinachopambana na ugonjwa wa Ebola katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa DRC kinasema visa vingine 9 vya ugonjwa huo vimepatikana katika kijiji cha Butama.
Miezi kadhaa iliyopita, kampuni hiyo ilikuwa imeripoti kiwango kidogo cha watalii kutokana na mgogoro wa Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya (Brexit)
Hata hivyo Tanzania imesema kuwa haina mgonjwa yoyote anayeshukiwa kuwa na Ebola au kuthibitishwa kuwa na virusi.
“Ulazima wa kuchukuwa hatua hauwezi kuwa wazi zaidi ya hivi, na ndiyo maana nimeitisha mkutano huu wa kutafuta suluhisho la mabadiliko ya tabia nchi.”
Trump alituma ujumbe wa Tweeter “mkutano mzuri” na kuposti picha wakiwa katika ofisi ya Oval, White House.
Mkutano huo na Trump inawezekana ukatoa fursa ya kwanza ya kufikiwa maamuzi kuwa Marekani ijibu vipi shambulizi lililofanyika dhidi ya mshirika wake mkuu Mashariki ya Kati.
Rais wa zamani wa Tunisia Zine el-Abidine Ben Ali amekufa akiwa uhamishoni, familia yake imesema.
Gantz amesema hatoungana kuunda serikali ya umoja iwapo Netanyahu atabakia kuwa mkuu wa chama cha Likud.
Pompeo : “Haya ni mashambulizi yaliyofanywa na Iran”...
Mwezi Juni, watu 160 waliuwawa katika jimbo hilo la Ituri na zaidi ya watu 300,000 walikimbia ghasia zilizosababishwa na wanamgambo wa jimbo hilo kulingana na taarifa ya kiongozi wa kijamii kwenye jimbo, Desire Malo
Amewaambia kuwa atafanya bidii zote kuunda serikali madhubuti yenye mrengo wa kizayuni ambayo itawatenga Waarabu.
Mwenyekiti wa kamati ya usafiri na miundo mbinu bungeni Marekani Peter DeFazio amewaita Mkurugenzi wa Shirika la Boeing Dennis Muilenburg na mkuu wa uhandisi John Hamilton wa kitengo cha biashara cha Boeing kufika bungeni kutoa ushahidi wake hapo Oktoba 30, 2019.
Pandisha zaidi