Wakati wa hafla hiyo, naibu wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, John Sullivan, alisema ziara ya ujumbe huo wa Kenya nchini Marekani, pia inanuia kutamatisha makubaliano kuhusu nafasi ya Marekani katika kuimarisha miundo msingi, usalama wa raia na kusaidia katika masuala ya uongozi bora nchini Ke