Makamu wa rais wa Baraza la Waislamu wa Sri Lanka amesema tayari wameshuhudia baadhi ya watu wakirusha mawe kwenye misikiti mbali mbali,
Marekani inapeleka ujumbe wa maafisa wa ngazi ya chini kutokana na mvutano ulioko kati ya nchi hizi mbili kuhusiana na mradi huo.
Taarifa hiyo inaeleza kwamba Trump na mkewe watahudhuria maadhimisho ya mika 75 ya uvamnizi uliofanywa na muungano wa kijeshi dhidi ya wapiganaji wa ki-Nazi, maarufu D-Day, uliopelekea ushindi wa muungano huo wakati wa vita vya pili vya dunia.
Bunge lilikuwa limetoa maelekezo kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu likiwataka polisi kuacha mara moja kumzuia Bobi Wine kufanya maonyesho ya matamasha yake.
Serikali : “bila ya mtandao wa kimataifa mashambulizi haya yasingeweza kufanikiwa.”
Papa amewahimiza watu kuacha vitendo vya kukimbilia utajiri na kujilimbikizia mali ambazo ni vitu vya kupita.
Washukiwa saba walikamatwa na vyombo vya usalama na wengine watatu kuuawa katika nyumba moja iliyoko mji mkuu wa Sri Lanka, Colombo
Jeshi la Misri, ambalo tayari linanguvu kubwa za kiuchumi na kisiasa nchini Misri, pia litaongeza jukumu lake la kusimamia mahakama za uhalifu, iwapo kura hiyo itapitishwa.
IMF imesema kuwa uchumi wa Tanzania unaharibiwa na sera za serikali zisizotabirika na zinazoingilia kati maamuzi” katika ripoti yake ambayo imezuiliwa kuchapishwa na nchi hiyo.
Taarifa hiyo haikutoa sababu za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Maiga. Inaaminika uamuzi huo unatokana na kuongezeka ghasia katika eneo la kati ya nchi hiyo,
Barr ametoa barua fupi yenye muhtasari wake juu ya mambo aliyoyabaini Mueller, na lililochukua uzito ni kuwa kampeni ya Trump haikushirikiana na Russia...
Wakati huohuo Rais Cyril Ramaphosa anaegombea muhula wake wa kwanza anaahidi mageuzi makubwa.
Pandisha zaidi