“Na wala Siamini kuwa tishio hilo limepungua,” McKenzie amesema, “ Na amini tishio hilo ni la uhakika.”
Boris Johnson anaonekana kuwa nafasi kubwa ya kushinda nafasi hiyo
Museveni amesema tatizo kubwa la Uganda ni mafisadi, wanaoiba mali ya taifa.
"Wakati tukimaliza mkutano, mara mawe yalikuwa yanatupwa na polisi walijibu vurugu hizo kwa kurusha mabomu ya machozi..," Balozi aeleza.
China inawajengea uwezo huo serikali katika bara la Afrika, Asia, mpaka Amerika ya Kati.
Thomas Kwesi Quartey, naibu mwenyekiti wa Tume ya AU na Philippe Wang, makamu wa rais wa Huawei Afrika Kaskazini, walisaini mkataba wa makubaliano wiki iliyopita katika makao makuu ya AU
Hata hivyo msemaji wa Umoja wa Mataifa hakutoa taarifa zaidi juu ya wafanyakazi wangapi walikuwa wanaondolewa, mahala gani walikuwa wanapelekwa, lini watarejea tena kuendelea na kazi na ni wafanyakazi wangapi wataendelea kubaki nchini Sudan
“hali ni mbaya, usafiri umeharibika na kwa sasa watu wenyewe wanafanya juhudi za uokoaji.
Katika sherehe hizo, Trump alisoma maombi ambayo aliyasoma Rais wa zamani wa Marekani Franklin Roosevelt katika matangazo radio baada ya uvamizi wa majeshi ya Nazi mwaka 1944.
Kundi hili ni la kwanza kwa ukubwa kukamatwa katika eneo la Del Rio, ofisi hiyo CBP imesema.
Maafisa wa Mexico walieleza nchi zote zitaumia kiuchumi na walipinga uwezekano wowote wa makubaliano ya nchi ya tatu itakayo walazimu wanaotafuta uhamiaji Marekani wanaopitia Mexico kwanza kuomba hifadhi nchini Mexico
Hii inanafuatia uchunguzi ulioripotiwa na idara ya ujasusi ya Uholanzi kwenye mtandao kwamba itaipatia kampuni ya Huawei fursa isiyo rasmi za takwimu za watumiaji
Pandisha zaidi