Shambulizi la Aprili 2, 2015 lilifanywa na watu wanne wenye silaha kutoka kikundi cha al-Shabaab, chenye makao yake Somalia.
Callamard alisema wakati asingeweza kujua nani aliyeamrisha mauaji hayo, serikali ya Saudi Arabia ni wazi inawajibika kwa hilo.
Ripoti ya UN : zaidi ya theluthi mbili za wakimbizi wote duniani wanatokea nchi tano tu – Sudan Kusini, Syria, Afghanistan, Somalia, na Myanmar.
Morsi alifikishwa mahakamani Jumatatu kusikiliza kesi yake juu ya mashtaka ya ujasusi ambapo alianguka.
Kiongozi huyo wa cheo cha juu katika nchi za falme za kiarabu aliwaambia waandishi wa habari alisikiliza mtazamo wa Jenerali Abdel Fattah Burhan kuhusu matatizo ya Sudan na yeye alimweleza mtazamo wa umoja wa falme za kiarabu kuhusiana na hali hii ya kisiasa nchini Sudan
Kwa upande wake waziri mkuu anakabiliwa na kesi ya kujibu katika mashtaka tofauti ya ufisadi.
Ni kinyume cha sheria kwa mtu yeyote kuomba, kukubali au kupokea kitu chochote cha thamani kutoka kwa raia wa kigeni katika uchaguzi Marekani,” Weintraub
Charles Owino aliliambia shirika la habari la Reuters alikuwa akisubiri taarifa juu ya idadi kamili ya vifo. Hakuna mtu yeyote aliyedai kuhusika na shambulizi hilo lakini kundi la waasi la Al-Shabaab kutoka Somalia linafanya mashambulizi mara kwa mara kwa vikosi vya usalama vya Kenya
"... nataka kusisitiza kuwa kwa familia na jamii zilizoathirika na ugonjwa huu, mlipuko wa Ebola ni suala la dharura,”
Kuwasili kwa wanaozungumza Kifaransa na Kireno kutoka nchi za Kiafrika imefanya ofisi ya Forodha na Ulinzi wa Mipakani kuanza kutafuta wakalimani.
WHO yasema waliofariki Uganda walikuwa wakitokea nchini Congo na wameingia Uganda wakiwa wagonjwa.
Msemaji wa baraza la mpito la kijeshi alieleza kuwa makundi mawili yanayo shukiwa kuhusika na majaribio ya mapinduzi walikamatwa.
Pandisha zaidi