Mueller hakuweza kumsafisha Trump kuwa hana makosa, akieleza matukio 11 ambayo yanaweza kuwa ni vitendo vya kuzuia sheria kuchukua mkondo wake.
Jumamosi iliyopita, wanakijiji walimuua mfanyakazi wa afya katika sekta ya afya huko Mabalako.
Mkutano huo wa siku tisa umetoa wito wa kupatikana mpango wa kimataifa kuboresha huduma za msingi katika kila nchi.
Idara ya hali ya hewa Marekani-NWS imeeleza Jumanne vimbunga takribani 53 ambavyo huenda vimepiga usiku kucha, vimeuwa mtu mmoja na kuwajeruhi wengine 90.
MANAGEM inazalisha dhahabu, fedha, kobalti na shaba. Kampuni hiyo pia inaendesha shughuli zake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Ethiopia, Gabon, Guinea Conakry, ivory Coast, mali, Morocco na Sudan
Maambukizo ya ugonjwa huo yamepungua kwa kiasi kikubwa katika wiki kadhaa zilizopita katika mji wa Butembo na Katwa ambao ndio kiini cha mlipuko japokuwa changamoto bado zipo
Joshua wa Takukuru amesema sio kweli kwamba Nyalandu amevamiwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha,
Mwaka 2018, Afrika imesajili matumizi ya bangi yenye thamani ya kustaajabisha ya paundi bilioni 37 inayotumika barani humo.
Vyama hivyo katika nchi 28 wanachama wa Umoja huo vinaonekana kuongoza kwenye uchaguzi ambao hufanyika kila baada ya miaka mitano
Donald Trump: Ni siku nyingi sasa. Hapakuwa na jaribio la roketi. Hapakuwa na jaribio la silaha ya nyuklia...
Ripoti kuhusu idadi ya vifo vinavyotokana na Ebola huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC inaeleza kwamba tangu mwezi Agosti mwaka 2018 zaidi ya watu 1,200 wameshakufa na wengine kadhaa wameambukizwa virusi vya ugonjwa huo
Vituo vinavyo tibu Ebola DRC vimekuwa vikishambuliwa na hivyo wafanyakazi wanaokabiliana na ugonjwa huo wameshindwa kufikia maeneo yenye milipuko.
Pandisha zaidi