Marekani imeipa serikali ya Kenya zaidi ya dola za Marekani nusu bilioni kwa ajili ya kusaidia masuala ya ulinzi... bila ya kusisitiza utumike kwa tiba ya afya ya akili.
Waziri huyo anatuhumiwa aliiruhusu kampuni ya Huawei kuingia kwenye mtandao huo wa G5 katika mkutano wa usalama wa kitaifa.
Angela Merkel amesisitiza : Hivi si vita vya mataifa haya matano pekee yao bali pia ni jukumu na wajibu wa Ulaya,
waandamanaji watatu, wamekamatwa wakiwa kati ya kundi la watu waliokuwa wanapinga maadhimisho ya siku ya wafanyakazi nchini Uganda, yaliyoongozwa na Rais Museveni.
Familia hiyo... inadai kuwa baada ya kula chakula hicho tarehe Machi 29, 2019, walianza kuchanganyikiwa...
Barr alitoa muhtasari wa taarifa yake mwenyewe kitu ambacho Mueller kwa uoni wake anasema haijatoa taswira ya kweli ya ripoti ya timu ya wachunguzi wake.
Naruhito anakuwa mfalme wa Japan wa 126 baada ya saa sita usiku Jumatano.
Matajiri wasiopungua watano, baadhi yao wakiwa ni wandani wa Bouteflika, wamekamatwa kwa tuhuma za ufisadi, huku nchi hiyo ikijitayarisha kwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika tarehe nne mwezi Julai.
Wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii wanaeleza kushutshwa kwao na hatua ya kufunguliwa kwake mashtaka kwa makosa ya mwaka 2018.
Takriban watu 200,000 wako hatarini upande wa kaskazini mwa Jiji la Pemba.
"Sisi ni taifa la Kiyahudi ambalo litaendelea kuwa juu. Hatutaruhusu mtu yoyote au kitu chochote kutukandamiza. Lazima tupambane na kiza kwa kutumia muangaza," amesema.
Pandisha zaidi