Rais wa Marekani Donald Trump amekutana Alhamisi na Rais wa Uswisi Ueli Maurer katika mkutano wa faragha Ikulu ya Marekani, wengi wanaamini mazungumzo hayo yanahusiana na kuongezeka mvutano baina ya Marekani na Iran.
Katika hali iliyokuwa haijatarajiwa, China imepunguza kiwango cha bidhaa zinazoingizwa kutoka Marekani kwa kiwango cha dola za Marekani bilioni 6.5...
Waziri wa mambo ya nje wa Burkina Faso, Alpha Barry aliliambia baraza la usalama la Umoja wa Mataifa licha ya kuwepo kikosi cha G5 Sahel Joint Force hali iliyosababishwa na ugaidi na ghasia za makabila mbali mbali kwenye eneo inatia wasi wasi
CATO : "...amesema takriban nusu ya wahamiaji wanaodhaminiwa na familia wana shahada za vyuo vikuu, ambao ni idadi kubwa kuliko ya watu waliozaliwa Marekani."
Muungano wa jeshi la Saudi Arabia na jeshi la serikali ya Yemen Alhamisi wamefanya mashambulizi ya ndege kwenye mji wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Kihouthi na kuuwa watu 6.
Pendekezo hilo, linanuiwa kubadilisha malengo ya namna wahamiaji watakavyopatiwa vibali halali...
Liang amesema kuwa Huawei iko tayari “ kuchukua ahadi kufanya vifaa vyetu vifikie viwango vya kutokuwepo ujasusi, na udukuzi wa siri.”
Mpango utabadilisha malengo ya namna wahamiaji watakavyopatiwa vibali halali ikitoa kipaumbele kwa wenya ujuzi wa juu na watu wasomi wenye ajira au matarajio ya uwekezaji badala ya mahusiano ya kifamilia kwa raia wa Marekani au mahitaji ya kibinadamu
"Vikwazo dhidi ya NGOs vinaathiri uwezo wa jumuiya za kiraia kujipanga, na raia, kuweza kuziwajibisha serikali na kusimamia haki za binadamu,”
Waandamanaji hao bado wamepiga kambi nje ya wizara ya ulinzi mjini Khartoum tangu April 6.
Ali alikimbilia Canada baada ya utawala wa Barre kuangushwa mwaka 1991.
Mawaziri hao wameeleza ishara ya kupiga hatua katika kuboresha uhusiano kati ya Marekani na Russia.
Pandisha zaidi