“Kuna jukumu la kuwaambia dunia kuwa serikali yetu imeacha kutekeleza jukumu lake la kimataifa. Lakini hatuwezi kusema Tanzania, kwa sababu ukisemea huko utapotezwa,” amesema mwanasiasa huyo.
Uzalishaji huo unatarajiwa kuongezeka kufikia mapipa 270,000 kwa siku ifikapo mwishoni mwa mwaka huu waziri wa mafuta wa Sudan Kusini Ezekiel Gatkuoth aliliambia shirika la habari la Reuters.
“Dazeni za kesi zenye madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliopita kiwango zimefunguliwa dhidi ya Misri katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, ACHPR,” imesema Amnesty International.
Inaripotiwa kwamba zaidi ya kesi 8,000 za awamu ya tatu zinazohusiana na manyanyaso ya kijinsia zilizoripotiwa nchini Siera Leone mwaka 2018 ziliwahusisha watoto.
Guterres akiwa nchini Ethiopia alisema Afrika inakuwa mfano kwamba inawezekana kutatua na kuzuia mizozo na ninamatumaini upepo huu unaweza kuendelezwa kwenye maeneo mengine ya dunia.
Rais Magufuli alisema wakuu wa wilaya wanasheria na mamlaka walizopewa lakini wasitumie vibaya mamlaka hayo.
Watalaam wa nyuklia wanasema suala la Korea Kaskazini kuhusu silaha za nyuklia linapaswa kuangaliwa kwa uzito mkubwa.
Umoja wa mataifa ya kiarabu wenye wanachama 22 uliiondoa Syria mwaka 2011 ikiwa ni hatua ya kupinga ukandamizaji wa kinyama unaofanywa na utawala huo dhidi ya watu wake hasa waislamu wa kisunni walioongoza upinzani dhidi ya Assad.
Ramaphosa : “Juu ya yote hayo, lazima tuufufue tena uchumi wetu. Namtaka kila mwananchi wa Afrika Kusini kulipata kipaumbele suala hili..."
Balozi wa Tanzania : “Kitendo cha Lissu kuzunguka dunia nzima hakisaidii. BBC, Radio Ujerumani -DW, Sauti ya Amerika -VOA, sio mahakama. Unachofanya ni kutuchafua na kutuvunjia heshima na kujichafua yeye mwenyewe.”
Katika hotuba yake Rais Trump ameeleza sera ya nje ya Marekani akigusia mikataba mbalimbali.
Mgomo wa wauguzi ulioanza Jumatatu nchini Kenya katika majimbo kumi na nne, umewaathiri zaidi wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali za umma
Pandisha zaidi