Transparency International hutumia vigezo ambapo sufuri ni alama ya nchi inayofanya vizuri zaidi huku mia moja ikiwa ndiyo nchi iliyozorota Zaidi katika Nyanja hiyo.
..".Hakuna nchi yeyote kati ya nchi zenu ambayo itaruhusu mtu aliyenasa katika utata wa kisheria kuongoza mfumo wa sheria mpaka pale atakapo kuwa amekutikana hana makosa.”
Meli hiyo kutoka ujerumani ndio pekee inayofanya kazi ya kuwaokoa wahamiaji wanaokwama kwenye bahari ya Mediterraniani.
Raia wa Sudan wamekuwa wakiandamana karibu kila siku tangu Disemba 19 wakimtaka rais Bashir ajiuzulu.
Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake juu ya matumizi mabaya ya madaraka na kusababishia serikali hasara.
Baadhi ya idara mbalimbali za serikali ya Marekani zilizo kuwa zimefungwa kwa siku 35 zimefunguliwa Jumamosi, siku mbili kabla ya Idara ya Mapato ya Ndani (IRS) kuanza kushughulikia mchakato wa kupokea mawasilisho ya kodi za wananchi kwa mwaka 2018.
Kongamano la Uchumi Duniani (World Economic Forum) lililokuwa linafanyika Davos, Switzerland, limemalizika Ijumaa, na ilikuwa wazi kwamba viongozi muhimu akiwemo Rais wa Marekani Donald Trump hawakuhudhuria.
Katika tamko lake, kampuni ya NSO ya Israeli ilikanusha kuwa kwa namna yoyote ile inahusika na operesheni ya ujasusi huo unaolenga wanazuoni na watafiti wa Citizen Lab,
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amemchagua mzoefu wa sera za kigeni Elliott Abrams kuwa mjumbe maalum atayeshughulikia masuala ya sera ya Marekani juu ya Venezuela,
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kufunguliwa kwa idara za serikali kuu ambazo zilifungwa kwa zaidi ya mwezi mmoja, baada ya kufikia makubaliano na kamati ya pamoja ya bunge.
Katika utetezi wake, Tido alidai kuwa mchakato mzima wa kuingia ubia wa kuhamisha TBC kutoka katika mfumo wa analojia kwenda digitali ulifanywa na bodi ya TBC.
Rais wa Marekani Donald Trump amemuonya Maduro Alhamisi kuwa “hatua zote zinazoweza kuchukuliwa ziko mezani”...
Pandisha zaidi