Repoti ya Sekretarieti ya EAC inasema kuwa, eneo la kwanza la Mkutano huo limebadilishwa kutoka Arusha, ambapo ilikuwa imependekezwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Arusha (AICC) April 6, na sasa utafanyika Dar es Salaam wiki ijayo, kama tu tarehe hizo hazijabadilishwa tena.