"Wakenya wengi wanaofuatilia siasa za vyama wanataraji pawe na heshima ya kidemokrasia kama njia mojawapo ya kufanya maamuzi yanayoafiki jamii pana."
Msajili wa vyama vya siasa amesema Jeshi la Polisi lipo kushughulikia malalamiko yoyote yanayohusu uendeshaji na shughuli za chama chochote cha siasa"
Jaribio la chanjo hiyo litahusisha watoto wadogo wenye umri kati ya miezi 5 hadi 17.
Wachambuzi wa siasa wameelezea kuwa matokeo hayo ya uchaguzi ni ishara ya tetemeko kubwa la kisiasa nchini Ufaransa.
Kambi ya upinzani pia imelaani shambulizi la mkutano wa viongozi wa CUF upande wa Katibu Mkuu, Maalim Seif na waandishi wa habari na kutaka serikali ichukue hatua kukomesha matukio haya ya uvunjifu wa amani.
Kushikiliwa kwake kunafanya idadi ya Wamarekani wanaoshikiliwa Korea Kaskazini kufikia watu watatu.
Takriban maafisa polisi 50,000 wakisaidiwa na wanajeshi 7,000, vikiwemo vikosi maalum, vimepelekwa mitaani kuimarisha usalama baada ya kikundi cha kigaidi cha Islamic State kudai kimehusika na shambulizi la hivi karibuni nchini Ufaransa.
Polisi Ufaransa wanawasiwasi wa kuwepo mipango ya mashambulizi ya kigaidi- ukiwepo uwezekano wa kufanyika mashambulizi siku ya uchaguzi utakaofanyika Jumapili.
Korea Kaskazini tayari imeshafanya majaribio ya silaha za nyuklia tano tangu 2006, yakiwemo mawili mwaka jana.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuwa Israel na Marekani zinamaadui wanaofanana katika wapiganaji wa Kiislamu, na ameahidi “kufanya kile kitachowezekana” kufikia amani.
Operesheni hiyo imefanywa na vikosi vya Ulinzi vya Jeshi la Kenya huko Somalia chini ya majeshi ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa (AMISOM).
Uchaguzi huo wa Mchujo wa Jubilee ulikumbwa na matukio kama vile kuchomwa moto kwa vifaa vya uchaguzi, maandamano ya wapiga kura katika kaunti mbalimbali, wakati kumekuwepo hofu ya uchakachuaji wa kura kwa upande wa wagombea na vitisho vya baadhi yao kuhamia vyama vingine.
Pandisha zaidi