Idadi ya mashekhe waliouawa inasadikiwa imefikia 17, na kati yao wanne ni mashekhe maarufu nchini Uganda.
Besigye: tutaweza kuwashinda hata utawala uliokuwa na nguvu za kupindukia ikiwa tutafanya hivyo.
Guterres ameahidi kufanya kazi na uongozi wa Trump ingawaje kumekuwepo na msuguano na atajaribu kushirikiana katika kuondoa "changamoto mbali mbali" ambazo Marekani na Umoja wa Mataifa zitakabiliana nazo siku za usoni.
Mkataba uliofikiwa unamaliza miezi kadhaa wa vurugu, ambapo dazeni ya watu waliuawa na mamia kujeruhiwa.
Baraza la mawazoiri la China limeeleza kwamba ili kulinda vyema ndovu na njia bora ya kupambana na biashara haramu China itasitisha biashara ya pembe za ndovu ifikapo mwisho wa 2017.”
Mkataba rasmi utasainiwa Jumamosi, na nafasi ya waziri mkuu itashikiliwa na umoja wa upinzani wa Rassemblement.
Mawakili wa Lema wamelalamika kuwa upande wa mashtaka umeshindwa kuwasilisha hoja yao Mahkama Kuu ili kuchelewesha kesi ya kuomba dhamana icheleweshwe. .
Ni heri tuwe na alama za chini lakini ambazo ni halisia kuliko alama za juu za A ambazo si halisia.
Upinzani unadai upewe wadhifa wa waziri mkuu na kubadilishwa kwa mkuu wa tume ya uchaguzi na Moise Katumbi aruhusiwe kurudi nyumbani. Mambo hayo yote yalikua yamekataliwa na Rais Kabila.
Kutokana na athaqri hii makampuni mengi yamekuwa yakipunguza wafanyakazi kutokana na kuyumba kwa biashara na hivyo viwanda kupunguza wafanyakazi ili kupunguza uzalishaji.
Wanawake wa Marekani wanahisi uteuzi wa Hillary Clinton kuwania urais umefungua njia kwa wanawake wengi zaidi kujitoma katika ulingo wa siasa na kuwania nafasi za juu za uongozi.
Sisi kama mawakili tunaliangalia suala la dhamana ya Lema kwa macho ya kisheria, na kwa hamu kubwa tunasubiri kesi ya msingi, amesema wakili wa Lema, Peter Kibatala.
Pandisha zaidi