“Rais-mteule (Trump) amesha ainisha maoni yake, hivyo basi atapoanza kazi—kitu ambacho sasa bado hajaanza, sisi tutashirikiana bila wasiwasi na uongozi mpya wa Marekani na wakati huo tutajua ni aina gani ya makubaliano tutayafikia," alisema Chansela wa Ujerumani