Macron ametoa shinikizo kwa Rais wa Brazil kuruhusu jumuiya ya kimataifa kushiriki kusaidia kuzima moto unaoendelea kuangamiza msitu wa Amazon.
Kufuatia hatua hiyo hakuna tamko lolote lililotolewa kuhusiana na amri hiyo ya mahakama.
Pia mkutano huo utaangaza mabadiliko ya tabia nchi, mgogoro wa Iran na ushuru.
Taarifa iliyomtia matatani Gondye inahusu tuhuma dhidi ya polisi kuwalazimisha mahabusu kulawitiana katika kituo cha Mafinga.
Moto huo uliyoenea maeneo mbalimbali tayari umekwisha teketeza zaidi ya hekta 450,000.
Mashambulizi ya anga yanayofanywa na Russia pamoja na utawala wa Syria yameharibu takribani maeneo yote huko kaskazini mwa Hama na kusini mwa jimbo la Idlib na kuwakosesha makazi watu 800,000 waliopo kwenye mpaka kati ya Syria na Uturuki
Trump alisema anataka bunduki kuwa mikononi mwa watu ambao hawana matatizo ya akili na anataka watu hao waweze kupata bunduki kiurahisi. Lakini kwa watu ambao ni wagonjwa, hataki wawe na fursa ya kupata bunduki
Kwa karne kadhaa kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1400, wafanyabiashara ya utumwa Wareno katika eneo ambalo ni Angola hivi leo walihusika na biashara haramu ya kusafirisha binadamu kupitia bahari ya Atlantic.
Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, aliyekuwa kiongozi wa baraza la kijeshi, ameapishwa katika nafasi ya uwenyekiti wa baraza jipya.
Wachambuzi wanasema kuna jamii kubwa ya mashoga katika miji mikubwa ya China.
Baraza huru litaongozwa na Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ambaye ni mkuu wa baraza la jeshi la mpito ambalo limeongoza Sudan tangu April mwaka huu wakati jeshi lilipomuondoa madarakani kiongozi wa muda mrefu nchini humo, Omar al-Bashir
Hatua hii inafuata licha ya ukamataji uliofanyika Jumatatu saa kadhaa kabla ya maandamano kuanza ambayo yalipigwa marufuku na polisi wa Zimbabwe na hatimaye waziri wa mambo ya nje na biashara ya kimataifa kutetea hatua iliyochukuliwa na vyombo vya dola
Pandisha zaidi