Taarifa ya familia inasema mwili wa marehemu Mengi utawasili saa 8:00 kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ndege ya Shirika la Emirates.
Marekani imeipa serikali ya Kenya zaidi ya dola za Marekani nusu bilioni kwa ajili ya kusaidia masuala ya ulinzi... bila ya kusisitiza utumike kwa tiba ya afya ya akili.
Waziri huyo anatuhumiwa aliiruhusu kampuni ya Huawei kuingia kwenye mtandao huo wa G5 katika mkutano wa usalama wa kitaifa.
Angela Merkel amesisitiza : Hivi si vita vya mataifa haya matano pekee yao bali pia ni jukumu na wajibu wa Ulaya,
Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara mahiri wa Tanzania, na ukanda wa Afrika Mashariki, ambaye aliwekeza katika sekta za viwanda, na habari.
waandamanaji watatu, wamekamatwa wakiwa kati ya kundi la watu waliokuwa wanapinga maadhimisho ya siku ya wafanyakazi nchini Uganda, yaliyoongozwa na Rais Museveni.
Familia hiyo... inadai kuwa baada ya kula chakula hicho tarehe Machi 29, 2019, walianza kuchanganyikiwa...
Barr alitoa muhtasari wa taarifa yake mwenyewe kitu ambacho Mueller kwa uoni wake anasema haijatoa taswira ya kweli ya ripoti ya timu ya wachunguzi wake.
Naruhito anakuwa mfalme wa Japan wa 126 baada ya saa sita usiku Jumatano.
Matajiri wasiopungua watano, baadhi yao wakiwa ni wandani wa Bouteflika, wamekamatwa kwa tuhuma za ufisadi, huku nchi hiyo ikijitayarisha kwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika tarehe nne mwezi Julai.
Wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii wanaeleza kushutshwa kwao na hatua ya kufunguliwa kwake mashtaka kwa makosa ya mwaka 2018.
Pandisha zaidi