Matajiri wasiopungua watano, baadhi yao wakiwa ni wandani wa Bouteflika, wamekamatwa kwa tuhuma za ufisadi, huku nchi hiyo ikijitayarisha kwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika tarehe nne mwezi Julai.
Wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii wanaeleza kushutshwa kwao na hatua ya kufunguliwa kwake mashtaka kwa makosa ya mwaka 2018.
Takriban watu 200,000 wako hatarini upande wa kaskazini mwa Jiji la Pemba.
"Sisi ni taifa la Kiyahudi ambalo litaendelea kuwa juu. Hatutaruhusu mtu yoyote au kitu chochote kutukandamiza. Lazima tupambane na kiza kwa kutumia muangaza," amesema.
Kipchoge aliwabwaga wanariadha Mosinet Geremew na Mule Wasihun raia wa Ethiopia ambao waliweza kumaliza mbio hizo katika nafasi ya pili na ya tatu
Jumamosi ilikuwa ni siku ya mwisho ya sikukuu ya Wayahudi ikiwa ni kumbukumbu ya kukombolewa kutoka utumwani huko nchini Misri.
“Mmechukua hatua gani kuhakikisha kuwa watu wenu wote duniani wanafahamu ujumbe wenye jinai unaokusudiwa kuwafikia kikundi fulani..."
Zaidi ya walimu 55,000 walioajiriwa kwa kandarasi za muda mwaka 2016, walianzisha mgomo mwezi Machi mwaka 2019
Yemen ni njia ya wahamiaji wengi kutoka Afrika kuelekea katika nchi tajiri za Kiarabu
Marekani na China; nchi mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani, zinaonekana kukaribia makubaliano ya kibiashara...
...wananchi wamefahamishwa kuwa wanaweza kuendelea na maisha yao kama kawaida na kurudi majumbani kutokana na kimbunga Kenneth kubadilisha muelekeo.
Pandisha zaidi