Mkuu wa shirika la afya duniani WHO amesema Alhamisi kwamba ugonjwa wa Ebola huko Afrika magharibi unaweza kuangamizwa kabisa kufikia mwisho wa mwaka huu.
Unyanyasaji wa ngono ni changamoto ya dunia ambayo inatakiwa kuchukuliwa hatua kali.
Vijana wawili wakamtwa Marekani wakiwa na nia ya kujiunga na Islamic State.
Kura ya maoni ya katiba imepangwa kufanyika oktoba 4, 2015 wakati duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais na bunge ukipangwa kufanyika oktoba 18. Duru ya pili inatarajiwa kufanyika Novemba 22.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon Jumanne amemsifu rais wa Marekani Barack Obama kwa uongozi wenye ujasiri na maono.
Mwanaharakati maarufu amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya katika mji mkuu Bujumbura siku moja baada ya generali wa juu wa kijeshi kushambuliwa na kuuwawa.
Tunaona baadhi ya fedha za ufadhili kutoka serikali kuondolewa, kupunguzwa na taasisi ambazo zinatafuta njia mbadala za kukidhi upungufu huu.
Kinauhakika mkubwa wa kuendelea kuwepo madarakani licha ya kuwepo na ushindani huo mkubwa katika uchaguzi wa mwaka huu kutokana na kukuwa kwa demokrasia nchini humo
Alisema "shukrani yangu nitawaletea baada ya uchaguzi mkuu, naomba mshikamane tuwe na umoja, ushindi hauwezi kupatikana bila ya umoja na hii ni nafasi pekee ya chama chetu cha upinzani kuchukua madaraka".
Rais wa Nigeria jumatano amefanya ziara yake ya kwanza rasmi katika nchi jirani ya Cameroon.
Waziri mkuu wa Malaysia Najib Razak ambae anaendelea kusongwa na tuhuma za ufisadai amemsimamisha kazi makamu wake pamoja na mkuu wa sheria.
Pandisha zaidi