Sheria hiyo mpya inaipa nchi baadhi ya mbinu zinazohitajika ili kupambana na kitisho cha ugaidi ikiwemo nyongeza ya muda wa kushikiliwa washukiwa bila kufunguliwa mashtaka kutoka siku 90 hadi 360
Miji mbalimbali ya dunia iliandaa tamasha za kitamaduni za kuukaribisha mwaka mpya pamoja na maonyesho ya kupendeza ya fataki
Kabla ya kupoteza mawasiliano na ndege hiyo, rubani wake alikuwa ameomba maafisa wanaongoza safari za ndege kumruhusu kupaa kilomita 1,800 ili kuepuka hali mbaya ya hewa.
Juni mwaka 2012, Marekani ilitangaza zawadi ya dola milioni 3 kwa yeyote atakayemkamata Hersi, ikimwelezea kama mshirika wa karibu wa kiongozi wa zamani wa al-Shabab Ahmed Abdi Godane.
Watoa huduma za afya walifanya jitihada kubwa, wakionyesha moyo wa huruma na kuhatarisha maisha yao wenyewe.
Kenya ilisema walioandaa program hiyo kamwe hawakutilia maanani maisha ya Wakenya wengi wasio na hatia waliouawa na magaidi.
Naye Mkuu wa majeshi ya polisi David Kimaiyo ajiuzulu. Ni kufuatia mauaji mengine ya watu 36 Jumatatu usiku katika county ya Mandera kaskazini-mashariki mwa Kenya.
Takwimu mpya zilizotolewa Jumatano na shirika la afya duniani (WHO) zinaonyesha kwamba idadi ya waliofariki iliongezeka kwa 230 tangu ripoti ya shirika hilo mwishoni mwa wiki iliyopita.
Rita Jeptoo amekanusha kutumia madawa ya kuongeza nguvu na chama cha riadha Kenya chasema vipimo alivyofanyiwa mkimbiaji huyo havikuwa na matokeo kamilifu
Uchumi wa China ulididimia katika robo tatu ya mwaka na kufikia viwango visivyoonekana tangu mwaka wa 2008 na 2009 wakati uchumi wa dunia ulipodhoofika sana.
Pandisha zaidi