No media source currently available
Rais ajaye wa Marekani Donald Trump akiwashukuru wafuasi wake baada ya kuchaguliwa na wananchi kuwa rais wa 47. Trump alikuwa na ujumbe wa kujenga umoja kwa wale waliohudhuria mkusanyiko huo wa mkesha wa matokeo ya uchaguzi huko Florida. Endelea kusikiliza..
Makamu Rais wa Marekani na mgombea kwa tiketi ya Demokratik Kamala Harris akitoa hotuba ya kukubali kushindwa na mpinzani wake Mrepublikan na hivi sasa mteule Donald Trump.
Rais-mteule wa Marekani, Donald Trump Jumatano alikwenda White House kwa mara ya kwanza baada ya miaka minne kukutana na Rais anayeondoka mamlakani Joe Biden.