Mhamiaji Sonam Zoksang anasema anamuangalia Biden, ...atatekeleza ujumbe wake wa kuleta umoja na maridhiano.“Naamini uongozi huu mpya na baadhi ya Warepulikan wema wanaweza kufanya kazi pamoja. Dunia inaiangalia Marekani kama ni mfano wa kuigwa.
No media source currently available
Watu watoa maoni tofauti kuhusu Rais mpya Samia Suluhu Hassan baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli.
Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika inakuletea makala maalum ikiangalia hali ilivyo, mwaka moja baadae, baada ya kuzuka kwa mlipuko wa virusi vya Corona, China na kuenea duniani kote kwa haraka.
Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika inakuletea makala maalum sehemu ya pili ikiangalia hali ilivyo, mwaka moja baadae, baada ya kuzuka kwa mlipuko wa virusi vya Corona, China na kuenea duniani kote kwa haraka.
Gavana wa jimbo la Kivu Kaskazini Jenerali Constant Ndima amesema wakati hayo yakijiri mjini Goma, matope ya moto ambayo yamekuwa yakiteremka katika mlima huo baada ya kulipuka kwa Volcano ya mlima Nyiragongo na kuishia nje kidogo ya mji Goma.
Maafisa wa juu wa ulinzi Marekani wanasema ikiwa imebaki chini ya wiki mmoja utaratibu wa mpango wakuwaondoa wanajeshi Afghanistan unakwenda vizuri.
Mkuu wa polisi amesema milipuko hiyo ilitokea karibu na kituo kikuu cha polisi na eneo la majengo ya bunge.
Vikosi vya jeshi la Ethiopia vimefanya mashambulizi kwa mara ya nne wiki hii katika mkoa Tigray.
Akizungumza mbele ya kundi la wanaharakati wa haki za binadamu leo Jumatano mjini Nairobi huko Kenya, Blinken alisema hata demokrasia iliyochangamka kama Kenya imekuwa hatarini zaidi kwa taarifa zisizo sahihi, ufisadi, ghasia za kisiasa, na manyanyaso kwa wapiga kura.
Tamasha la Fasihi ya Kiswahili Kenya yatambua mchango wa wanawake katika kukuza lugha ya Kiswahili kupitia sanaa mbalimbali kama vile mashairi, riwaya na ngoma za kitamaduni.
Taarifa ya pamoja iliyotolewa kwenye mazungumzo ya COP26 huko Glasgow iliungwa mkono na viongozi kutoka mataifa kadhaa kuhifadhi misitu ya dunia.