Upatikanaji viungo

Mwaka huu wa 2016, Vyuo vikuu 36 hapa marekani vilialika vijana viongozi elfu moja kutoka nchi za Afrika katika michepuo mitatu tofauti: Biashara, Uongozi katika jamii na menejimenti ya uma. Hii ni Mandela Washington Fellowship ambao ni mkutano wa vijana viongozi kutoka barani Afrika. Mkutano huu unatoa na kufundisha mbinu za kuwasaidia vijana viongozi kutoka Afrika kupata elimu na mafunzo kwenye vyuo mbalimbali vya juu hapa marekani.

XS
SM
MD
LG