Upatikanaji viungo

Mauaji Orlando

VOA Swahili inakuletea habari mpya kabisa kuhusu mauaji mabaya kuliko yote kupata kutokea Marekani tangu Septemba 11, 2001. Mshambuliaji aliyedai kuwa na uhusiano na Islamic State alifyatua risasi katika baa inayopendwa na mashoga katika mji wa Orlando, Florida na kusababisha vifo vya watu wapatao 50.

Zaidi Mauaji Orlando
XS
SM
MD
LG