Upatikanaji viungo

YALI Fellowship

Mpango wa viongozi vijana uliobuniwa na Rais Obama (YALI) unawawezesha vijana kupitia elimu, mafunzo kwa vitendo, mafunzo ya uongozi na kubadilishana mawazo. Mpango wa mafunzo kwa vitendo ujulikanao kama Mandela Washington Fellowship, ni program ya kuwapatia takriban viongozi vijana 500 kutoka barani Afrika chini ya jangwa la Sahara fursa ya kuongeza ujuzi wao katika taasisi za elimu za Marekani ili kwenda kusaidia nyumbani katika juhudi za maendeleo.

Fuatilia moja kwa moja hotuba ya Obama kwa washiriki wa mkutano wa YALI

Zaidi YALI
XS
SM
MD
LG