VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
dakika 23 zilizopita
VOA Express
-
Aprili 21, 2024
Je Nifanyeje?
-
Aprili 20, 2024
Je Nifanyeje?
-
Aprili 19, 2024
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
-
Aprili 18, 2024
Uhaba mkubwa wa petroli washuhudiwa visiwani Zanzibar
-
Aprili 17, 2024
Kwa Undani
-
Aprili 17, 2024
Watalaam wa hali ya hewa watoa sababu ya mvua kubwa Tanzania