WFP yatahadharisha janga la njaa kushindwa kudhibitiwa Msumbiji
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Chakula Duniani latahadharisha mzozo wa ukosefu wa Chakula cha msaada kwa wananchi wasio kuwa na ardhi Msumbiji kama haitapokea Dola milioni 121 kusaidia watu hao na janga hilo kushindwa kudhibitiwa.