Walinda amani Jamhuri ya Afrika ya Kati waukomboa mji uliotekwa

Your browser doesn’t support HTML5

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa Jamhuri ya Afrika ya Kati wameukomboa mji ulioko kilomita 750 Mashariki ya mji mkuu, Bangi.