Si Wakenya wote wanaokubaliana na mgomo wa madaktari walipozungumza na Sauti ya Amerika mjini Nairobi.
Wakazi wa Nairobi wana maoni yanayo tofautiana kuhusu mgomo wa madaktari
Your browser doesn’t support HTML5
Baadhi ya wakazi wa Nairobi wakubaliana na madai ya madaktari kugoma kutokana na kutopewa vifaa vya kujikinga na virusi vya Corona. Huku wengine wakisema mgomo wao utawaathiri watu zaidi.