Utawala wa Biden waahidi kuendelea kuwaondoa watu Afghanistan
Your browser doesn’t support HTML5
Hata kama muda wa kuwaondoa watu utamalizika Agosti 31, bado utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden na washirika wake wanasema wamepata tamko la Taliban kuwaruhusu watu kusafiri nje ya Afghanistan hata baada ya kuondoka kwao.