Ushindani mkali waendelea kati ya Trump na Biden katika majimbo
Your browser doesn’t support HTML5
Zikiwa zimesalia zaidi ya wiki mbili kabla ya kupiga kura Uchaguzi wa Marekani Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden na Rais Donald Trump waelekea katika majimbo yenye ushindani mkali.