UN yazindua kongamano la bahari ikieleza hali ya dharura inayoikabili dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aeleza changamoto zinazoletwa na mabadiliko ya hali ya hewa ikisababisha hali ya dharura duniani.