Tamasha la filamu la Cannes lafanyika Ufaransa
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki katika yale yaliogonga vichwa vya habari duniani ni pamoja na Tamasha la Filamu la Cannes nchini Ufaransa. Ungana na mwandishi wetu Sunday Shomari akikuletea habari kemkem za burudani...