Rais Tshisekedi awataka vijana kujiunga na jeshi kupambana na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi ameelekeza viongozi wa jeshi la nchi hiyo kufunga kambi kadhaa za mafunzo ya kijeshi nchini humo kwa matayarisho ya kusajili idadi kubwa ya wanajeshi ili kujiandaa kupambana na kundi la waasi M23 na makundi mengine ya waasi Kivu Kaskazini.