Rais Ramaphosa awatakia Waislam kheri ya mfungo wa Ramadhan

Your browser doesn’t support HTML5

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akiwatakia kheri za mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan Waislam Barani Afrika.