Rais mteule wa Zanzibar Hussein Mwinyi aapishwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais mteule wa Zanzibar Hussein Mwinyi aahidi kujenga umoja wakati akiapishwa kuliongoza taifa hilo visiwani Zanzibar Jumamatu.