Rais Macron ajitenga kudhibiti maambukizi ya COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ajitenga baada ya kukutikana na maambukizi ya virusi vya corona huku viongozi wa dunia wakimtumia salamu za kumkatia apate nafuu kwa harata.