Rais Biden na wabunge kujadili mipango ya kufufua uchumi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden atakutana na wabunge wiki hiki kupata mwaafaka juu ya mipango yake ya kufufua uchumi ikiwemo matumizi ya miundombinu, huduma kwa watoto na elimu.