Pande hasimu nchini Libya zafikia mardhiano

Your browser doesn’t support HTML5

Mjumbe wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Ibrahim Abdulazizi Sahhad asema Pande hasimu nchini Libya zimefikia maridhiano baada ya mkutano wa siku mbili uliowahusisha wajumbe kutoka kila upandę wa Baraza Kuu la Bunge la Libya na wawakilishi wa barasa kuu la taifa.