Mwili wa mtoto umepatikana kwenye ufukwe wa bahari ya Italy
Your browser doesn’t support HTML5
Picha hii ambayo ilisambazwa na taasisi ya kimataifa ya Sea Watch, inamuonyesha muokoaji wa Kijerumani akiwa amembeba mtoto anayeonekana akiwa hana umri wa zaidi ya mwaka mmoja akiwa amefariki dunia. Picha hii ni muendelezo wa vifo zaidi elfu nane kutokea katika Mediterranean tangu mwaka jana