Mlipuko wa nzige waikumba Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni moja nchini Kenya inasema inasuluhisho la kuwatokomeza nzige ambao mlipuko wao hivi sasa ni tishio kubwa kwa wakulima Afrika Mashariki.