Mkimbizi aeleza hofu ya wakimbizi kufukuzwa Afrika Kusini
Your browser doesn’t support HTML5
Mkimbizi kutoka Somalia aeleza hofu inayowakabili wakimbizi nchini Afrika Kusini wakihofia kulazimishwa kuondoka kwa sababu hawana vitambulisho vya ukimbizi.