Matukio ya Dunia Mjumbe maalum aanza usuluhishi wa mvutano wa Sudan - Ethiopia 19 Februari, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika awasili Sudan kwa mazungumzo kupunguza mvutano uliopo kati ya Sudan na Ethiopia.