Mchango wa wanawake kukuza lugha ya Kiswahli watambuliwa Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Tamasha la Fasihi ya Kiswahili Kenya yatambua mchango wa wanawake katika kukuza lugha ya Kiswahili kupitia sanaa mbalimbali kama vile mashairi, riwaya na ngoma za kitamaduni.