Matapeli wa ngono wawabaka watoto Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Watoto kutoenda shule kutokana na COVID-19 kumefanya matapeli wa ngono kufanya vitendo vya ubakaji huku unyanyapaaji wa maambukizi ukishika hatamu.