Magufuli : ...Hatutaweka 'lockdown', ...tunajua Mungu yupo siku zote.

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Magufuli wa Tanzania amesema wakati wa kuuaga mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi marehemu John Kijazi, serikali yake haitaweka lockdown na kuongeza "Tumeshinda mwaka jana mpaka tukaingia uchumi wa kati na corona ipo... Wala hatukuweka lockdown."