Katibu Mkuu wa UN atahadharisha madhara ya mgogoro wa Libya
Your browser doesn’t support HTML5
Katibu Mkuu wa UN asema mgogoro wa Libya umeingia katika awamu mpya wakati uingiliaji kati wa majeshi ya kigeni umefikia viwango ambavyo havijawahi kushuhudiwa.